Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,181
- 3,115
habari za kazi waungwana
twende moja kwa moja kwenye topic.
siku za hivi karibuni biashara ya blog imekua ikikua kwa kasi sana hapa nchini kwetu.na vijana wengi wamekua wakitamani sana kuitumia hiyo fursa lakini tatizo ni elimu juu ya hiyo kitu,wengine hawajui hata pakuanzia,na wengine wamefanikiwa kufungua lakin zimeishia kufungwa na pia kutowalipa hata tsh 10.
hivyo basi nmeleta huu uzi ili wataalamu watujuze namna nzuri ya kuanzisha na kuendesha ili iweze kutoa manufaa,kwa mfano tunaweza kujuzana kuhusu
1;jinsi ya kuanzisha,yani kufungua je wapi na nani anaweza kukutengenezea na kwa gharama nafuu
2.aina ya blog,yan ni aina ipi nzuri kufungua ambayo inaweza kukulipa kirahis
3;namna ya kuchagua jina kulingana na lengo la blog yako
4;blog inakulipaje
5;njia bora yakuchukulia pesa yako ambayo haina makato makubwa
6;ongezea mambo mengine...........................