Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwanza habari zenu wana JF Nahitaji msaada wenu, niliroot tecno J5 ikakaa poa ila nikahitaji kui Unroot na nilipo jaribu kui unroot imekua ikiwaka inaishia tu pale linapokuja neno tecno mpaka...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Ni karibu miezi miwili iliyopita tangu kampuni inayoaminika sana ya Samsung kutangaza kuondoa toleo moja sokoni la Galax note 7, Kampuni hiyo Ndiyo kampuni niliyoiamini zaidi, lakini kabla ya...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari !wakuu ningependa share nanyi kujua ipi katika ya foaud na gbwhatsapp bora zidi na kipi kimekuvutia kati ya gbwhatsapp na foaud.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna huu mtandao wa alibaba naombeni mnisaidie jambo moja jamani huu mtandao nimeupenda sana una bidhaa ambazo ni cheap sana ila tatizo linakuja kwangu pale kuwa wanahitaji mtu kuorder bidhaa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wadau!.. Vugu vugu la ukuaji wa teknolojia kwa nchi afrika wenzetu kenya wameamua kufanya kwa vitendo, Wakenya wote kwa pamoja wameweka tofauti zao za kiasiasa pembeni na kushiriana na...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimekua nikijaribu kupunguza uwezekano wa akaunti yangu kupokea Alarts lakini sifanikiwi najikuta napokea hadi 1000 alarts. Nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Wadau habari zenu , Kwa mda mrefu sasa simu yangu imekuwa na tatizo la video kutotoa sauti au kutoonyesha kabisa nikiipost Instagram Lakini uki play kwenye gallery inakubali tatizo linakuja Niki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habari za muda huu...kwa wadau wanatumia IOS devices/iPhones...accidentally nimedelete music app yangu yahani ile default music app ya apple (sijui kama ili ni jina sahii) lakini namaanisha...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini ndugu, tokea Jana computa yangu inakua nzito kufungia mafaili na nashindqa kudownload vitu mfano video player au game au hats nyimbo, msaada pls
0 Reactions
8 Replies
932 Views
Kwa wale ambao wameshawahi kutumia myus.com naombeni mnielekeze matumizi ya hii account ya premium. Ni kwamba ukisharegister na hii 60$ a year unakuwa --------- mzigo bure kwa mwaka mzima au...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habar za Muda wadau, nina computer yangu HP Pavilion, mwanzoni ilikuwa iko poa sana, Lakini sasa sielewi kabisa, Nikiweka kwenye chaji basi inafanya kazi safi tu, Ila umeme ukakatika au...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Nina samsung J5 yangu tangu juzi iko slow kiasi kwamba siwezi soma mesage za whatsap, na nikisend mesage ni kama nimesend bila na data. Nimejaribu jana ku iformat ila naona tatizo liko pale pale...
0 Reactions
7 Replies
896 Views
Wakuu,habari zenu,kuna mdogo wangu ameifanyia hard reset Simu yake Tecno n2 ambayo amenunua tigo shop sasa baada ya kufunguka na kufuata hatua zote ili aweze kuitumia amekwamia njiani inaseach...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
habar wakuu nimejaribu kutuma cv yang kwa email nikatuma pdf file lakini zinaishia kugoma tu Kinachonishangaza wananambia niweke email ya mtu nayemtumia naweka chini nakuta wameniandikia compose...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Ni zaid ya wiki sasa kila nikipiga simu kupitia line yangu ya voda inanilete Ujumbe huo "ACM limit exceeded" sasa sielewi tatizo. Na nimechukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kureset bado hamna...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu habari za majukumu..kwa bajeti ya 300k naweza kupata simu ipi nzuri
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Nimeingiza game la pes 2017 ila nikitaka kulifungua naandikiwa " Unable to initiate stream Api" msaada tafadhari kwa mwenye kujua jinsi ya ku fix tatizo hili. Natanguliza shukrani
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Walianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia, customer care namba haipatikani, kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta, utasikia...
9 Reactions
86 Replies
10K Views
Habari zenu wadau..... Nina printer tajwa hapo juu na CD yake ila imegoma kwenye laptop yangu ya acer aspire E1-510. Naombeni msaada jinsi ya kupata software hii ambayo itafanya kazi moja kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wataalamu wa nyota tuambizane ule mpangilio wa nyota una maana gani?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom