gifted mind
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 344
- 203
Wadau habarini za jioni
Nipo dar...na nimeanzisha kibanda cha kuuza movie na series (Za ulaya na Marekani) kwa wateja hasa vyuoni.Sasa nahitaji kuteka soko kwa kutumia software ambayo kama nikimpa mtu movie au series asiweze kumpa mwingine...Kwa hiyo huyo mtu mwingine akiipenda au kuihitaji hiyo series au movie sharti aje kwangu tena..Sasa kama kuna mtaalamu anaweza ku "Lock" anisaidie tafadhali.Asanteni kwa usikivu wenu