Password na username kwenye User account"' (computer).

wrong turn

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
438
170
Ukiachana na password ya kufungulia computer, kuna password ambayao hutumika kuweka usalama (security) ya computer kwa ajili ya virus, ku install program au kubadili progaram za computer, sijui huiwekea wapi ila nahisi inaanza mbali kuwekwa.

Nikitaka kuingia kwenye User account huja massage inayohitaji ''User name'' na ''password'' ili niweze kuingia kwenye User name na kubadili password na siijui password yake, computer nimegaiwa na office yangu na naamini nikiwafata waitoe watagoma kwani kuna program nyingi ambazo tunatumia na zinalipiwa na mimi nazitaka pia nataka kuweka program zangu ila hadi uweke password ili ziingie, sitaki kubadili window ili password itoke. nimeingia kwnye cdm ili niitoe pia huko wameblock, nimefanya ujanja mwingi ila nimeshindwa, ujanja wangu wa mwisho nilio nao nikutumia software yaku unlock, jee itatoka?.

Kwamwenye kujua naomba msaada maana nimesha fanya mautundu yangu yote juuyakwamba ni mjanja ila mambo magmu.
 
Back
Top Bottom