Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Hii ndo simu ya kwanza kutoka kampuni ya Tecno kua inatumia Android 6.0 yaani maarufu kama MARSHMALLOW,baada ya kutoka w4 imedhaniwa kua Tecno wamemaliza mfululiza wa Y series ambapo simu ya mwisho ni Y6 na kuanza W4 ambayo ni ya kwanza katika kizazi cha fululizo wa W.
W4 ndo iliyoingia sokon mara ya kwanza kwa kamouni ya Tecno ikiwa na mfumo wa android unaopendwa kwa sasa wa marshamallow pamoja na mfumo wa Hios na ikiwa na bei ya kawaida kwa watumiaji wake.
Ukiachana na suala la kua na adroid mpya 6.0 W4 pia imekuja na umbo zuri lilobuniwa vizuri ikiwa na wide angle camera.
Kwa upande wa kioo W4 ina kioo cha inchi 5 HD KIKIWA NA 1.3 GHz Quad-Core MediaTek prosesa lakini pia inamiliki ram ya GB 1 na uwezo wake wa kuhifadhi vitu wa ndani ni 16 GB kwa upande wa kamera ya nyuma ni 8 mp na mbele kua na 2 mp.
Betri la simu hii ni 2500mAh ambayo inadhaniwa kuweza kufika masaa 48 kama ilichajiwa ikijaa na kwa matumizi wakati ikiwa imenyimwa uwezo wa kua na intaneti ya kasi ya 4G w4 inamiliki uwezo 3G pekee.
W4 ina rangi tofauti tofauti kutokana mapenzi ya mtumiaji wa simu hii, ipo ya rangi ya dhahabu,nyeusi na pia nyeupe
List ya vinavyopatikan kwa w4 hii hapa
Ø Inchi 5.0 HD
Ø Laini mbili
Ø Mfumo ni android 6.0
Ø Ina camera ya awide angle pamoja kukufanya uwe mzuri katika picha
Ø 3G ndo mfumo wa mawasiliano wa intaneti unaopatina
Ø Betri yake 2500 mAh
Ø Uwezo wa kuhifadhi vitu wa ndani ni 16 GB
TUKUTANE TENA KUJUA SIMU JANJA ZINGINE TOKA MAKAMPUNI MAARUFU YANAYOLETA BIDHAA HAPA NCHINI......