Habari wanajamvi,
Naipenda sana game ya EUROTRUCK SIMULATOR 2 ila hizi za ku-download naona antivirus yangu inakamata trojans ndani yake nataka kununua genuine,ni wapi nitapata!? Asanteni
habari za mwaka mpya wanajamii forum
Nilikuwa naomba msaada kuhusu hili.Kompyuta yangu HP compaq nx7300 inaganda au freeze na cursour yake haimove mpaka uizime ina maana ikiganda hakuna...
Habari wanaIT nimetengeneza video ya wordpress kama introduction kwa ambayo ni beginners ila nitaendelea kwa level zingine kwa wale beginners wasonge kwenye level ya intermediate. Pia ntatengeneza...
kwema wadau? nina simu aina ya samsung galaxy s3-GT I9300 ina tatizo la kutoshika 3g, inaishia kushika edge tu. Nimejaribu kufanya setting ya apn bila mafanikio na pia nikiwa natumia mpesa au...
Habarini wana jamvi,
Juzi kati nimenunua tv ya samsung flat screen,ni ya mtumba ila katika ku-google nikapata kujua kuwa ina tuner 3 yaani DVB-S,T na S, nikajaribu ku-search chaneli ikanigomea...
Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki!!!
wadau wa electronics, nina hi-fi model 087 memory ic imekufa kabisa, T/24C02A. kwa mazingira niliyopo nimepata 24C02, kama ntatumia hiyo kama mbadala...
habari wana jukwaa......
wanajukwaa, kuna laptop yangu kila nikiweka flash inacreate shortcurt ........yaani mafaili ya kwenye flash yanakuwa hayasomi tena.
kwa mwenye ufahamu na hili tatizo...
Nimekuwa mfuatiliaji wa habari hasa kwenye Tv hii imenifanya niwe mtazamaji wa Tv za hapa nchini na nje ya nchi.
Nimegundua kuwa Tv zetu hapa nchini ziko nyuma sana hasa kwenye quality za picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.