Microsoft wazindua surface studio, all in one PC kwa bei ya gari

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,226
Reaction score
44,226
Microsoft leo wamezindua PC yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc.

Brief specs
  • 28-inch PixelSense touchscreen with 3:2 aspect ratio
  • Quad-core Intel Core i7 processor
  • up to 32GB RAM
  • up to 2TB 'rapid hybrid drive'
  • Nvidia GeForce GTX 980M graphics
  • HD webcam
  • Audio port
  • SD card slot
  • Mini DisplayPort
  • Ethernet port
  • 4 USB 3.0 ports
  • Stereo speakers with Dolby Audio Premium
Picha
1477496874_surface-studio-04_story.jpg

Screen-Shot-2016-10-26-at-11.19.09-AM-800x500.png

PC hii inakuja na accessory inaitwa dial ambayo ni kama msaidizi wako ukifanya shughuli za utengenezaji picha.

Angalia video kujua zaidi

BzMLA8YIgG0

Bei ni kama ifuatavyo
  • Intel Core i5 / 8GB RAM / 2GB GPU / 1TB storage | $2,999
  • Intel Core i7 / 16GB RAM / 2GB GPU / 1TB storage | $3,499
  • Intel Core i7 / 32GB RAM / 4GB GPU / 2TB storage | $4,199
Inaonekana Microsoft anamuandama Apple kila corner
 
Ukitoa hizo features za dial,28 inches monitor haina tofauti yoyote ile na imac..
kesho zamu ya Apple mkuu, muda kama huu tutaona na yeye atazindua nini.

kuna imac ina gpu kama gtx 980m? power usage na perfomance?
 
Bahati mbaya Microsoft amekuwa akimkimbiza Apple lakini hampati, hii ni kwa sababu yeye ndo anamkimbiza
kwanini unasema hivyo? kuna maeneo kibao microsoft yupo juu ya apple kama
-gaming
-enterprises
-office na productivity
-desktop & laptop na soko la pc kwa ujumla (windows)
-server
-cloud etc
 
Ukiangalia hivi vyote hakuna Apple anachomuiga Microsoft, Microsoft amekuwa akimuiga Apple huku akitarajia kumpita kwa kile anachomuiga Apple, mfano mzuri ni kwenye surface pro vs MacBook pro

Sent from my HTC_A9u using JamiiForums mobile app
 
mkuu surface si tablet?

na microsoft na patners wake wana tablet kabla hata ipad ya kwanza haijatoka
gatestablet.png

hapo ni mwaka 2002 bill gate akizindua tablet, sema tablet za windows zilikuwa limited kwa proffesional tu kama vile graphics designer na wanaofanya modelling za 3d

kama unataka mambo ambayo microsoft amefanya mwanzo na apple akaiga haya hapa

1. Flat UI
mwaka 2008 kama sijakosea jamaa anaitwa Terry Myerson alileta idea ya windows phone na Flat ui kwa ujumla na microsoft kuhamia huko, japo product zao za zamani kama Encarta na Zune zilikuwa ni flat ila huyu jamaa alileta mkazo zaidi tukaona os kama windows 8 zikienda flat. baada ya flat UI kuwa maarufu Apple akacopy kuanzia ios 7

2. Ipad pro ni attempt ya Apple kujilinda na threat ya surface pro ina vitu kibao vya surface pro ikiwemo keyboard na kalamu wakati hata hakuna os feature inayofanya hivyo vitu viwe special
http://www.zdnet.com/article/to-save-the-ipad-apple-needs-to-copy-microsoft

3. microsoft walikuwa na windows mobile way before iphone ya kwanza

mkuu kifupi Apple sio mgunduzi wa vitu, anaishi kwa kucopy wenzake angalia hata budget zao za research miaka na miaka wanatumia visenti tu kwenye research je watagunduaje vitu? nafkiri ni mwaka jana/huu tu ndio Apple atleast anaspend bilions kwenye research.

angalia teardown za Mac 100% ni vitu ambavyo havitoki Apple wamekusanya tu wamevieka pamoja ikawa computer
https://www.google.fr/url?sa=t&rct=...2PUqLmvGEhyK6_NeA&sig2=CIdA-5tdXKNV9icre030Fg

Kama Microsoft wame debut product mpya ambayo ni kali hivyo basi apple leo watakua name wakati mgumu sana kama hawatakua product au service ya ku steal headlines.
 
mkuu surface si tablet?

na microsoft na patners wake wana tablet kabla hata ipad ya kwanza haijatoka
gatestablet.png

hapo ni mwaka 2002 bill gate akizindua tablet, sema tablet za windows zilikuwa limited kwa proffesional tu kama vile graphics designer na wanaofanya modelling za 3d

kama unataka mambo ambayo microsoft amefanya mwanzo na apple akaiga haya hapa

1. Flat UI
mwaka 2008 kama sijakosea jamaa anaitwa Terry Myerson alileta idea ya windows phone na Flat ui kwa ujumla na microsoft kuhamia huko, japo product zao za zamani kama Encarta na Zune zilikuwa ni flat ila huyu jamaa alileta mkazo zaidi tukaona os kama windows 8 zikienda flat. baada ya flat UI kuwa maarufu Apple akacopy kuanzia ios 7

2. Ipad pro ni attempt ya Apple kujilinda na threat ya surface pro ina vitu kibao vya surface pro ikiwemo keyboard na kalamu wakati hata hakuna os feature inayofanya hivyo vitu viwe special
http://www.zdnet.com/article/to-save-the-ipad-apple-needs-to-copy-microsoft

3. microsoft walikuwa na windows mobile way before iphone ya kwanza

mkuu kifupi Apple sio mgunduzi wa vitu, anaishi kwa kucopy wenzake angalia hata budget zao za research miaka na miaka wanatumia visenti tu kwenye research je watagunduaje vitu? nafkiri ni mwaka jana/huu tu ndio Apple atleast anaspend bilions kwenye research.

angalia teardown za Mac 100% ni vitu ambavyo havitoki Apple wamekusanya tu wamevieka pamoja ikawa computer
https://www.google.fr/url?sa=t&rct=...2PUqLmvGEhyK6_NeA&sig2=CIdA-5tdXKNV9icre030Fg
https://www.google.fr/url?sa=t&rct=...2PUqLmvGEhyK6_NeA&sig2=CIdA-5tdXKNV9icre030Fg
Mkuu, sorry unaposema kuwa Apple hafanyi utafiti una maana gani!? Mbona bidhaa zake zimekuwa tofauti na wengine kwenye soko, je utofauti huu nani anamfanyia utafiti!? Sawa inawezekana kweli hakuna Apple alichobuni ila amekuwa ni mwanamapinduzi kwa vitu vilivyobuniwa na wengine aidha kwa kuviacha njiani au kukosa uhalisia, mfano mzuri ukitazama kwenye finger print (touch ID), kabla Apple hajaanza kuitumia kuna baadhi ya device za makampuni tayari walishaanza kuzitumia lakini hazikuwa efficiency kama Apple alipointroduce touch ID, baada ya touch ID ndo tukaona wengine wakafuata, pia kwenye high resolution display kwenye simu, iPhone 4 retina display ndo simu ya kwanza kuwa na resolution kubwa ndo zinafuata simu nyingine ambapo leo tunazungumzia 4K display ni mifano michache tu ya Apple kufanya mapinduzi kwenye mifupa iliyowashinda fisi na kuifanya steki
 
mkuu kuna design na ugunduzi, apple wana design nzuri hilo ndio jibu kwanini vifaa vyao vipo tofauti, wana poach designer wazuri toka makampuni mbali mbali, angalia hata yule jamaa wa camera walie mchukua toka Nokia alikuwa ni designer wameacha wafanyakazi wote ikiwemo wagunduzi wakamchukua designer. Angalia hata ndani ya Apple leo hii ukiwatafuta watu wenye uelewa wa mambo ya Tech utakuta wanamjua CEO yaani COOK na mwengine ni John IVE ambae nae ni designer. Miaka yote Apple wana co founder wawili ambao ni WOZ na JOB ila siku zote anaesemwa ni JOB ambae ni designer. so Apple wao ni kudesign tu.

kuhusu display ndio iphone ilikuwa ya kwanza kutoa display yenye resolution kubwa lakini haikukaa sana samsung wakatoa galaxy s2 yenye HD display na kuanzia hapo Android ikatawala display zenye resolution kubwa.

na kuhusu display pia usisahau simu za maemo ambazo zina resolution kubwa way before iphone ya kwanza haijatoka kama vile Nokia n900, pia Nokia E6 ilikuwa na ppi ya maana sababu ilikuwa na display ya 360p huku kioo kikiwa kidogo 2.4 kama sijakosea

kiufupi HD zipo toka 1998 hivyo si jambo geni

na Apple anahusika vipi na 4k? Apple si kampuni ya display na hata hio iphone 4 walinunua display toka Sharp kama sijakosea
 
Hahaha mkuu bwana JOB ni bonge la designer na mjasiriamali hana lolote mbele ya bill gates ambae anashusha code za kufa mtu na ana mathematical knowledge hatari ndo maana hadi leo excel ni tegemeo
 
Navuta picha miaka 20. Ijayo technology itakuwa wapi. Ila izo bei kweli za gari
 
Back
Top Bottom