Hatimaye nimefanikiwa kuupdate my tecno c8 to mashamallow

ibuo

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
464
438
Kama nilivotanguliza kwenye head baada ya pitapita zangu katika forum mbalimbal hatimae nimefanikiwa kuupdate tecno c8 to android mashamallow a.k.a android 6 now naenjoy muonekano mpya kabisa ni hois new font style, new icon n.k

Hapa nimeanza kuamini kwamba hakuna kisichowezekana kwenye android
 
mkuu umefanyaje hadi kufanikiwa na nini faida yake
kipi una enjoy ambacho ungekosa kama simu ingebaki kama ilivyo.
 
Hongera sana, Mimi naisubiri kwenye Simu yangu hii ya TECNO J8, ingawa nimeanza kuipata hiyo HiOS kwenye Simu mpya.
 
a27d5b33c02a4ae08a3a1d2acdfe2b30.jpg
 
mkuu umefanyaje hadi kufanikiwa na nini faida yake
kipi una enjoy ambacho ungekosa kama simu ingebaki kama ilivyo.
nenda forum ya tecnospot then sin up uwe member ukilog in utakuta link ya how to get mashamallow on c8 then kuna link wameweka unaidownload hapo file lina size ya 867MB unatakiwa bando ya kutosha na speed nzur ya internet ukishamaliza weka hilo file kwa sd card ukishamaliza zima simu halafu bonyeza button ya kuzima na kuongeza saut kwa pamoja kwa sekunde 3 hivi halafu unaachia utaona katuni ya android imetokea ukimaliza bonyeza tena buton ya saut utaona options nying pale halafu chagua update via sd card itaanza kazi hadi itamaliza then itareboot mchezo umeisha zoez linachukua muda mrefu kama nusu saa hivi usiwe na haraka na pia hakikisha simu yako sio rooted na pia fanya backup ua data before
 
Mkuu umetumia browser gani kuadownload hilo file maana kwangu nikidownload inaonesha imemaliza ila file size hiyo ya 800mb haifiki?
 
Back
Top Bottom