Naomba mniondolee utata huu kati ya Tecno C8 na C9

Bwana Chiniko

Member
Jul 18, 2016
20
9
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.

Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua.

Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio nzuri, zipo slow, isitoshe camera yake sio nzuri ukilinganisha na Tecno c8, wakaniambia ni bora c8 kuliko c9.

Kwenye wengi kuna mengi, naamini wapo wajuvi wa haya mambo au waliowahi kutumia simu hizi, waweze kunipa ushauri kuhusu hili suala maana limekuwa likiniweka njia panda.

Mwisho kabisa budget yangu ni laki 3 na nusu, kama kuna simu nyingine mnayoifahamu ni nzuri zaidi ya hii naweza pata kwa hiyo, iwe mpya pia sio mbaya mnaweza mkanipa mawazo yenu.
 
Attachments

  • Tecno-Camon-C9-unboxing.jpg
    Tecno-Camon-C9-unboxing.jpg
    24.7 KB · Views: 191
Wewe kwenye simu ulikuwa unahitaji nini zaidi maana hizo ni simu mbili tofauti zenye uwezo tofauti, japo zote ni za kampuni moja.
Ila kwa kiasi cha pesa unacho taka kuchukua mojawapo ya hizo simu kwanini usiangalie upande wa pili simu ambayo itakuwa imara.
 
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.

Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua.

Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio nzuri, zipo slow, isitoshe camera yake sio nzuri ukilinganisha na Tecno c8, wakaniambia ni bora c8 kuliko c9.

Kwenye wengi kuna mengi, naamini wapo wajuvi wa haya mambo au waliowahi kutumia simu hizi, waweze kunipa ushauri kuhusu hili suala maana limekuwa likiniweka njia panda.

Mwisho kabisa budget yangu ni laki 3 na nusu, kama kuna simu nyingine mnayoifahamu ni nzuri zaidi ya hii naweza pata kwa hiyo, iwe mpya pia sio mbaya mnaweza mkanipa mawazo yenu.
Mkuu,
Hebu itafakari na Tecno c7 aiseee! Iko murua sana kushinda hiyo c9
 
Wewe kwenye simu ulikuwa unahitaji nini zaidi maana hizo ni simu mbili tofauti zenye uwezo tofauti, japo zote ni za kampuni moja.
Ila kwa kiasi cha pesa unacho taka kuchukua mojawapo ya hizo simu kwanini usiangalie upande wa pili simu ambayo itakuwa imara.

Ndio unijuze mkuu, nahitaji mawazo yenu, kwani hizi sio imara?
 
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.

Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua.

Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio nzuri, zipo slow, isitoshe camera yake sio nzuri ukilinganisha na Tecno c8, wakaniambia ni bora c8 kuliko c9.

Kwenye wengi kuna mengi, naamini wapo wajuvi wa haya mambo au waliowahi kutumia simu hizi, waweze kunipa ushauri kuhusu hili suala maana limekuwa likiniweka njia panda.

Mwisho kabisa budget yangu ni laki 3 na nusu, kama kuna simu nyingine mnayoifahamu ni nzuri zaidi ya hii naweza pata kwa hiyo, iwe mpya pia sio mbaya mnaweza mkanipa mawazo yenu.
Chukua Huawei G7 hutajuta japo itabidi uongeze bajeti
 
kati ya simu nilizowahi kutumia, c8 ni the worst of all.. kwanza:-
c8 ina 1gb ram, 5mpx rear camera, haina 4g n.k... kiufupi c9 is the best
Mtoa mada zingatia na hili pia.
Zipo mada nyingi humu watu wameshauriwa simu gani wanunue kulingana na bajet aliyo nayo.
Sasa wewe inataka simu yenye camera nzuri then unataja tecno mkuu...!!!
 
mkuu hivi simu gani zenye camera nzuri bajeti kuanzia 350 kushuka chini
 
Mm natumiaaa tecno c7 lakin kabla ya kununuaa hii nilishinda mtandaon sanàa kuangaliaa ipi nzur kati ya c7 c8 c9. Nikagunduaaa. Upande wa camera c7 na c9 zote camera zinalinganaa zote camera ni 13 mp mbele na nyuma ila c8 mbele ni 5 mpb na nyuma ni 13 mp. Na ram kwa c7 na c9 ni 2gb ila c8 ram ni 1gb. Hii c7 ipo faster sana ila c9 ni best kuliko zotee. Utofaut wake wa c7 na c9 ni ukubwa wa screen na vitu vingne vidogo sana
 
7260cafd68f7cf3a521349e72256c053.jpg

hii ndo raha ya j 8 ukiimodify boya boya hawaelewi hiki nini nngekuwa na uwezo ningetoboa duara lakati nimalize mchezo
 
Back
Top Bottom