Msaada kwa simu yangu ya TECNO H6

Piranha inabidi udownload hilo file la h6 sasa flash tool za mtk ni nyingi tuu unachagua mwenyewe ipi ni simple
 
Fanya ku-reboot mkuu, hilo tatizo lilitokea hata kwang nika-reboot ikawa mwisho
 
Fungua gsmhosting/gsm forums tafuta files za Techno tafuta za h6 ziwe ni scatter, tuanzie hapo
 
Wadau simuyangu aina ya Tecno H6 ina shida moja hivi inawaka na kuishia kuandika tu TECNO je nifanyeje
Tafuta semitrailer ya mafuta ikiwa tank liko full kisha iweke pale chini ardhini tairi la mbele linapoanzia Suka aendeshe gari taratiiibu mpaka tairi la mwisho then ichukue uiwashe itakuwa imeondoka mambo yote hayo
 
dah sawa bn mkuu but omba tu yasikukute
 
dah sawa bn mkuu but omba tu yasikukute
Tecno ni simu za waafrica tunaletewa kulingana na uwezo wetu wa kiuchumi lkn siyo simu imara.
Yamenikuta sana hayo, hata sasa hivi natumia lkn siyo.

Nenda kwenye tecno centre zao wataiflush, itakuwa imeingia virusi hiyo
 
sawa mkuu umesomeka
 
Tafuta semitrailer ya mafuta ikiwa tank liko full kisha iweke pale chini ardhini tairi la mbele linapoanzia Suka aendeshe gari taratiiibu mpaka tairi la mwisho then ichukue uiwashe itakuwa imeondoka mambo yote hayo
Sio fresh mkuu, mwenzetu amepata shida. Tumsaidie.
 
Mnaposema kureboot mnamanisha nini??? Kwa sababu hata hapo inaboot sema ndo hvo inaboot ktk aina ya mode ambayo hawez kuiformat. Muelekeze aireboot kuptia mode gan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom