Naomba msaada wa haraka juu ya simu yangu ya Techno

Shmaider

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
406
120
Natumia Tecno H5 nime kwenda dukani kununua betri jipya original nimelichaji kwa kuzingatia maelekezo niliyo pewa lakini linazingua utunzaji wa moto.Nikarudi dukani wakanishauri natakiwa ni restor cm ili ipoke systeam mpya ya betri ndipo litatunza moto vizuri je nikweli hki nilichoelezwa?
 
mkuu..!
Hakuna kitu kama hicho. Factory Configuration ya simu UkiiRestore, Charging System haiathiriwi kabisa.
Kama warrant ya simu yako haijaExpire, RUDISHA wakupe simu nyingine ( nenda na risiti yako )
Sahihi kabisa.
 
akanunue simu nyingine tu, aachane na mitecno
 
Back
Top Bottom