Msaada wa kurudisha namba zilizopotea kwenye simu

Kichasi

Member
Aug 30, 2011
61
14
Naomba kwa yeyote anayejua application ambayo itarudisha namba zilizopotea kwenye simu anisaidie.Sababu za kupotea ni kwamba leo nilienda kwa fundi simu halafu akaiflash na namba zote zikafutika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom