chemical13
New Member
- Oct 10, 2016
- 3
- 0
Juzi nilikuwa natumia laptop yangu kama kawaida baadae nikachomeka powerbank kwenye port moja ya laptop, ilizima ghafla na haiwaki tena, msaada nn tatizo
Shida itakuwa kwenye motherboard..nicheki kwa nmba 0676040772 nikushauri cha kufanya.Nimewahi kufanya hvyo mkuu