Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Kwa wataalam wa masuala ya video editing kuna kazi tulishut kwa 60fps ambayo ni ntsc. Resolution ni 1920 x 1080. Sasa imeshahaririwa na kuwa exported. Nataka niihamishie kwenye pal na quality isishuke. Nimeshajaribu sana ila naona picha haiko smooth kabisa. Msaada kama kuna mtu anajua namna ya kuibadili kwenda pal bila kupoteza ubora wake