Wataalam wa ADSENSE.Msaada

Wataalam wa ADSENSE.Msaada

apakak

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
896
Reaction score
662
Kuna yeyote aliyewahi kuchomoka baada ya hii stage? Kama ndio , alichomoka vipi?

upload_2016-12-26_21-2-4.png
 
hatua uliyo fikia ni nzuri najua wata ku approve uwe na subra tu.
 
kipindi cha nyuma walikua wanakubali simple blog kama ya jamaa apo juu lakn saiv wamechnge ukiomba kwa kutumia blogspot watakuandika we are connecting your site km ya jamaa apo juu na utasubiri lakn aiwez kukubali ila ukiombea kwa domain ya kununua na ukaweka vitu vyote kama privacy policy na vinginevyo ile stage utaipita na watakupa code uziweka kwenye html za template ya blog yako na si kama mwanzo ulikua unaweka kwenye blog layout then baada ya apo inabid upate urganic traffic yaan from search engine na sio social network ili ads zipate impression na ndipo zinawaka ,,fata izi atua utapata google adsense na za saiv zipo tofaut na za zamani nimetumia mda mrefu sana mpaka kuweza kufanikisha ivi na mda mwingi sana but finaly nimefankiwa toka mwez wa saba google walipochange sheria za adsense ,,,,,,,,,,,VIJANA PAMBANA KAMA UNATKA MAFANIKIO,, ivi saiv nipo kufanya reseach kwa nini wanafunga saiv nimefungiwa acc ya tano kwa ajili ya majaribio tu cku nikipata jibu sahii nitawaambieni waheshimiwa
 
Back
Top Bottom