Mechanical engineering Vs information technology artist

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
Et wadau Kati ya hizo fani Mbili ipo ni rahisi kutoka kimaisha Kwa mazingira ya tanzania
 
Inabidi wanafunzi mtambue kua course haimpi mtu pesa, ni akili ya mtu mwenyewe anaitumiaje kutengeneza pesa. Ndio maana kuna mtu analima na kupeleka nyanya sokoni kuuza bei ndogo, na mwingine anatafuta customers wakubwa anakodi shamba kubwa mno zikikua anauza zote kwa mpigo moja na kutengeneza pesa ndefu.
Its the same thing kuuza nyanya lakini akili tunatofautiana.

Mechanical au IT, zote unaweza tengeneza pesa na zote unaweza kufulia vilevile usipate kazi na ukashindwa kujiajiri. Cha muhimu ni kupenda unachokifanya na kua the best at it, in short TUMIA AKILI. Na usijilimit, unaweza somea Mechanical engineering alafu ukaenda kufanya biashara. Kutengeneza pesa kuna-involve mtu ulivyojipanga kusolve tatizo tu basi, ona tatizo watu walilo nalo, tafuta solution, tengeneza pesa, najua watu waliopiga shule chini hawajamaliza form six leo wana milioni 100 kwenye account. Tumia Akili.
 
Mkuu unajidanganya kuamini kuwa elimu ndio itakufanya uwe na maisha bora.

Hukiwa na imani hiyo ukifika huku mtaani utakuja kutuokotea makopo utusafishie jiji.

kitakachokufanya ufanikiwe ni juhudi zako sio elimu yako.
 
Sure, Ali mfuruki ni moja ya Best mechanical engineers lakini pesa anapatia kwenye kuuza vitop na underwears

Hapo kwenye bold, hivyo vitu vinauza balaa.
Ambaye hajui hii business atamuona jamaa machinga, ila kuna kutengeneza pesa ndefu sana kuuza chupi, faida zaidi ya 300%.
 
Back
Top Bottom