Mouse ya laptop yangu inastuck niconnect adapter nikiwa na chaji

lunatic

Member
Sep 24, 2016
63
19
Wakuu naombeni msaada wenu, mouse ya PC yangu ina stuck na wakati mwingine haifanyi kazi kabisa nikiwa naichaji na kuitumia....
 
asa naweza kuingia gharama za kununua adapter mpy afu tatzo likaendelea
 
Jaribu ku update windows drivers na jaribu kutumia external mouse kama ikiwezekana
 
Hiyo adapter haipo compatible kwa pc yako japo usiangalie kuwa inaingia kwenye connector za pc yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom