Mtandao Gani nitumie ku Stream Premier league

Arsenalist1

Senior Member
Jul 13, 2015
163
49
Za Humu Ndani wadau, nilikua Niki stream na mamaHD.com kwa PC nikitumia Voda net, na nilikua na stream vizuri...kwa sasa inakatika Katika Sana...mtandao gani mzuri ku stream online? Or best web ya stream online premier league.. Natanguliza shukran
 
Mkuu net ya voda iko vzr? Mm huku natumia Halotel ni hatari. Anyway mm natumia simu kucheki gemu zote iwe EPL, LIGI 1,LA LIGA, BUNDAS LIGA etc kupitia app ya SPOTFORUM
 
Ilikua vizuri... Hivi karibuni ndio inazingua
 
Mkuu net ya voda iko vzr? Mm huku natumia Halotel ni hatari. Anyway mm natumia simu kucheki gemu zote iwe EPL, LIGI 1,LA LIGA, BUNDAS LIGA etc kupitia app ya SPOTFORUM
Inakuaje hiyo mkuu mimi nina window phone

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 
Back
Top Bottom