zeromagic
Senior Member
- Sep 14, 2016
- 186
- 67
Msaada kulingana na kichwa cha habari hapo Juu. Nimejaribu takribani cd tofauti tofauti za win10 na win7 lakin imeshindikana. Nikajaribu kutumia bootable usb ikashindikana pia. Speed ya kuinstall window bado ndogo, yaani kwa anzia saa 3 usiku mpaka saa 2 asubuh nakuta percentage 8. Msaada tafadhari