Iphone yangu inaniandikia storage full

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
534
317
Msaada jamani iphone yangu imeniandikia storage full halafu inasema naweza ku-upgrade storage kwa njia ya BUY.
Inasema hivyo hasa hiyo security code ndo inanichanganya kabsa.

5d9f6b161a210dd0a4b740f7441509d8.jpg
 
hio itakuwa ni storage ya online yaani icloud.

hio security code ni zile namba tatu za nyuma ya credit card

Naona namba nne zipo, so nikiweka haiwezi kuadhiri kitu katika card yangu?? Na je iwapo ikawezekana space itapatikana na stosumbuliwa tena na hiyo full storage???
 
Lzm ujaze information zote za malipo hapo unaweza kupata storage,afu futa baadhi ya vitu kwenye iCloud yk,tatizo kubwa hiyo itakuwa ni 16G iPhone yako ndio inajaa kwa haraka
 
Naona namba nne zipo, so nikiweka haiwezi kuadhiri kitu katika card yangu?? Na je iwapo ikawezekana space itapatikana na stosumbuliwa tena na hiyo full storage???

Kama vitu basic kama hivyo hujui sasa umenunua iphone ya nini au umehongwa? Kwa kukusaidia tu hapo unaupgrade icloud storage na utakuwa unakatwa pesa kila mwezi. Pia haitasaidia kurudisha storage kwenye simu yako. Nenda udelete picha na video zilizojaa kwenye whatsap ndio zinazokujazia storage kwasababu zipo pia kwenye photos (dublicate). Pia install google drive (ina 15GB za bure) halafu weka photo automatic backup then unafuta picha zilizomo kwenye simu baada ya kuwa backed up kwenye google drive
 
mkuu hio ni storage tu ya online unaweza download dropbox, onedrive ), google drive etc ukapata storage nyengine bure,

fata ushauri wa jamaa hapo juu futa tu mambo usiyoyatumia upate nafasi.
 
Whatsapp nafkir ndo inakuponza coz huwa inahifadhi data mara mbili yan video na picha chakufanya anaza kwa kuclear chats na pia angalia apps zilizochukua nafas kubwa mfano instagram na facebook zinaweza fika hata mb 900 chakufanya nikuzdelelete kisha unadownload upya zitaingia zikiwa na mb chache
 
Kama vitu basic kama hivyo hujui sasa umenunua iphone ya nini au umehongwa? Kwa kukusaidia tu hapo unaupgrade icloud storage na utakuwa unakatwa pesa kila mwezi. Pia haitasaidia kurudisha storage kwenye simu yako. Nenda udelete picha na video zilizojaa kwenye whatsap ndio zinazokujazia storage kwasababu zipo pia kwenye photos (dublicate). Pia install google drive (ina 15GB za bure) halafu weka photo automatic backup then unafuta picha zilizomo kwenye simu baada ya kuwa backed up kwenye google drive

Naijua vizuri sana iphone ila hayo maswala ya kununua storage ndo sikuwahi kuyasikia.
 
Whatsapp nafkir ndo inakuponza coz huwa inahifadhi data mara mbili yan video na picha chakufanya anaza kwa kuclear chats na pia angalia apps zilizochukua nafas kubwa mfano instagram na facebook zinaweza fika hata mb 900 chakufanya nikuzdelelete kisha unadownload upya zitaingia zikiwa na mb chache

Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom