Game ya draft kwenye android

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
28,951
30,251
Wakuu naombeni mnifahamishe game nzuri ya mchezo wa draft kwenye android.. Kila nikingia play store nakutaka na ambazo hazieleweki au nyingine ni nyepesi sana.. Yani opponents hapana changamoto.. Msaada wenu nipeni ambayo ni best sana asante
Cc Chief-Mkwawa
 
Kaka cheki hio playstore inaitwa checkers online wee nakwambia utashinda game 2 kati ya 40

b0ac98d84941168dba84b98fd42b7bcf.jpg
ea3a5109077e0a28f317d88f9f1bbf07.jpg
71156166a1c8b7f0c9f3769e34cedbb6.jpg
 
Cheza checkers elite, lipo vizuri sana kwa online, unachugua mwenyewe ucheze na mtu wa uwezo gani.
Ukiliinstal nitafute nikukaribishe.

IMG_20170102_230915.JPG
 
Back
Top Bottom