Dish za tv channel na internet

Dish za tv channel na internet

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Heshima kwa wanaJF wote naombeni kufahamishwa ni njia gani inayotumika kupata internet kwa kutumia haya madish ya kawaida ya tv channels na ni satellite gani inayotumika. Msaada kwa wanaJF wanaofahamu maujanja natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom