Msaada:-Kujua namna ya kuflash simu.

Msaada:-Kujua namna ya kuflash simu.

Kuflash simu:
Simu ina software kama vile computer.Software ya simu ina sehemu kuu 3 1.eeprom 2.Base software 3.Language pack.
Kuflash kupo kwa aina 3
1.Kutoa lock simu ina aina 2 za lock 1.network lock(katika nchi za ulaya makampuni ya simu unnunua simu kwa maelfu na kuziprogram zitumie kadi zao tu na sio kadi za mitandao mengine)mfano simu/modem za Tigo azikubali line za Airtel au voda so unaziflash ili kuifanya simu ipokee kadi yeyote
2.User lock mwenye simu anaweka lock ili simu yake isiwezechezewa na mtu mwingine.so unaflash kutoa hii lock na kuifanya free.
Languange pack flashing
Hapa Tanzania,hii flashing sio sana kufanyika,katika flashing hii,unaweza kuta simu aina lugha ya kiengeleza so unafuta iliyopo na kuiweka unayotaka.
Vifaa vya flshing vipo vya aina 2 1.with hardware key (dongle) 2. With non flshing hardware key.
To be continue my batt is going to die soon
 
kwa hyo hivyo vifaa vyote viwili vya kuflash vinatumika kwa pa1 au inakuaje?pia vinauzwa shilingi ngap vya hardware na software.
 
vifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi
 
shukrani mkuu kwa shule!nitakutafuta soon
 
mkuu hata mimi kwa muda mrefu nataka fundi ambaye anajua software na hard ware niende kuchukua kozi kwake ila nataka awe mkweli manaake kuna wengine anakwambia nitakufundisha kila kitu unamlipa hela lakini hakupi mikoba zaidi kukufundisha kufungua simu za nokia kubadilisha mic na spika mimi nataka kusoma software contact thabitlule@hotma​il.com tuongee kibiashara na ukisha nipa mikoba vifaa vyote nanunua toka kwako na kuna suali nataka kukuuliza vipi kuhusu microbox nikinunua wakati iko full activated model zote walioziweka katika list naweza ku unlock au mpaka box iwe na credit sina utaalamu huo ila nimekaa na fundi ambaye anajua sana masuala ya ku unlock na ku flash ila alikataa kinifundisha na vifaa vyote alivyokua anatumia ninavijua kwa mfano jafbox, z3box, universal box, sagddbox, nspro, setool, bb5, ultima, mtbox, etc. lakini hakuwahi hata siku moja alau kunambia chukua hii samsung iunlock na nilikua namkera sana anifundishe lakini alikataa ila na mimi sasa ninampango wa kufungua sehemu yangu ila kabla ya kufungua nataka mwalimu anipe mikoba
 
nipigie kwenye namba 0717009369 maradi pesa watu wako fiti watakupa mokoba ya uhakika hadi uka simama dede mwenyewe
 
Watu mpo deep ukishafungua chuo tangaza humuhumu mi ntakutafta ada isizid laki mbili please
 
km unahitaji nipigie je kiingerereza unajua hiyo ni muhimu sana kwani ufumbuzi mwingi unapatikana kwa kimombo itakuchukua muda mfupi kujifunza na kujitegemea (not copy and paste)
 
Me pia nlikuwa nnaitaji hii course ya kuflash na kuunblock cm. Pia hata me nnakuwa mmoja wa wanafunz wako
 
vifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi

kaka nimekupm na mimi niko na shida ya namna hii
 
Ntakutafuta na mimi nahitaji
 
pole kwa kuto kuonekana jamii forum kwa muda mrefu sema mpendwa unahitaji msaada gani
 
vifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi
mkuu unaweza ku flash htc desire 816 dual sim?
 
Kaka nami nataka jua namna ya kucheza na hivyo vitu hivyo naomba unisaidie niwe mwanafunz wako Niko morogoro
 
Back
Top Bottom