Msaada kuhusu airtel money na ATM machines.

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,195
4,551
Wadau habari ya asubuhi.
Katika huduma za kifedha zitolewazo na airtel kupitia airtel money kuna huduma ya utoaji pesa kutoka akaunti ya airtel money kwenda ATM MASHINES za benki mbali mbali ila mimi sijui jinsi ya kukamilisha huduma hii kwani nimepiga customer care bila mafanikio yoyote
 
Back
Top Bottom