Whatsapp yangu inafanya kazi kwa wifi tu,kwa cellular data imegoma, nimejaribu uninstall / install whatsapp lkn bado tatizo lipo,mwenye kufahamu jinsi ya kutatua hili tatizo tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.