Msaada kuirekebisha e-mail yangu

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,414
865
Habari wakuu na hongera kuvuka mwaka.

Naombeni mnisaidie, ishu yenyewe ni kwamba e-mail yangu sijaingia muda mrefu na nilibadili namba ya simu niliyofungulia kwa hiyo niki-log in inasema nimekosea password.
 
Kwa nini usi log in kwa namba uliofungulia? Kubadili namba sio sababu kwani hiyo ya zamani unaitumia tu kulog in hata kama matumizi mengine ulishaipumzisha . Anyway isiwe tabu, click link ya "forgot password" utapitia procedures za kureset password.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom