Msaada wa kutoa password iliyosahaulika

Baba wa Amani

Member
Aug 22, 2016
56
36
Kuna mtu aliweka password kwenye simu (Phone password) sasa amezisahau na hawezi kuiwasha hiyo simu.

Msaada please!
 
Nenda kwanza polisi toa maelezo,kisha kuna karatasi utapewa uende nayo kwa fundi atajua cha kufanya!!
Note-Ni kosa kisheria kuflash/unlock locked or blocked device bila ruhusa ya polisi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom