jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Nippo natafuta flat screen,iwe used or mpya but nataka nijue copy nitaijuaje kwasababu zipo nyingi sana mitaan na madukani.
Kampuni:
Samsung
Lg
Kampuni:
Samsung
Lg
Majanga juu ya majanga. Upo eneo gani tafuta thread za wauzaji flat tv uwaulize. Kama upo mjini jitahidi kuwatafuta kariakoo posta na mbagaraNawajuaje sasa ao mawakala