Msaada wa kubadilisha adroid V4.3 na kuwa android V5.

MOLAM

Senior Member
Oct 12, 2013
141
20
Nimatumaini yangu kuwa muwazima wa Afya njema
Husika na kichwa cha habari hapojuu, mimi ni mtumiaji wa simu ya HUAWEI Y530,Androi v4.3 ambayo tayari nimesha ROOT, hivyo naombeni msaada wa jinsi yakuifanya ili iwe Android v5.
Asantanteni.
 
je?, inasuport lollipop hiyo simu??? kama ndio just search for lollipop firmware for your phone and flash it
 
mkuu hizo simu hazina updates official na ukipata rom ujue hata haitakuwa stable, hutaweza itumia
 
Kuna faida gani ya kufanya hivyo? mi yangu ni tecno j8 boom
OS: Android 5.1 Lollipop with HiOS U
Wataalam mnaonaje hii?

Bango
 
Back
Top Bottom