Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,049
Wakuu habari
Naombeni mwenye ujuzi zaidi anisaidie hii ishu. Iko hivi, nilinunua galaxy s4 LTE I9505 na nikairoot kwa kingroot kupata root access(nishawahi Fanya kwa simu kadhaa). Baada ya kupata root access na kupata kinguser nikaona nibadili kinguser niweke SuperSU. Lakini nikawa nakwama kuinstall SuperSU kwsababu ya Samsung Knox. Nkainstall root file manager nikaselect all files zenye name knox nikafuta.
Shida ndio ikaanzia hapo. Niliporeboot ngoma ikabaki kwenye boot loop Mara ya kwanza ilifika hadi kwenye Samsung logo. Badae nikaona niwipe cache niboot ngoma Bado. Nikapiga hard reset Bado.
Nikfikia uamuz wa kupiga custom ROM au niflash stock ROM. So nikaflash twrp kwa Odin ikakubali. Nkaflash ROM ndio mambo yameharibikia hapo. Kila ROM inafail hadi cyanogen zinagoma kuflash kwa Odin hata kwa recovery.
Naomba msaad kwa mtu anisaidie ujuzi zaidi au Kama vipi nimpe atengeneze.
Naombeni msaada cc Chief-Mkwawa Kang khalfan UncleUber @dreson4
Saivi inaishia hapo tuu. Asanteni na poleni kwa gazeti