Poleni wajumbe,
naombeni msaada wa kufanya setting ya game kwenye laptop yangu ili PAD iweze kuplay hasa game la mpira mfano pro evolution soccer 2016 limekataa kabisa kuplay
embu nenda youtube mana me najua but kukuelekeza nashindwa. ni simple tu.
au nenda file ambalo ndo lina installation za gemu kisha utakuta app inaitwa setting, ifingue hiyo alafu click controller setting kisha select contoller one, alafu kulia click direct input. kisha press ok then funga.
alafu nenda kafungue game. pad itakubali.
kama hujaelewa kacheki youtube.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.