nenda kwa fundi hiyo simu ina kitu kinaitwa frp labda km unakumbuka google accout na kwanini unataka hardware reset optionsNaomba kufahamu jinsi ya kuifanyia hard reset tecno w4
Hiyo nikitu inaitwa frp huwezi mpaka tools hiyo ndiyo habari ya mjiniNinataka kufahamu hio hard reset kwenye tecno w4 kwa sababu kuna jamaa yangu anayo kama hii niliyokuwa nayo Mimi sasa ilikuwa inamshinda kidogo kufanya hiyo kitu Ila alifanikiwa kuifanyia kwa maelekezo yenu tatizo limekuja kwenye kuseti ili kuipata home screen maana ilikuwa inatafuta connection ya WiFi sehemu ya kuingiza google account haipatikani msaada