Jinsi ya kupata Customized Rom

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,058
Wakuu habari za kushinda, naomba msaada wa maelekezo niweze kupata customized Rom kwenye simu aina ya samsung 4 na Samsung Note 3.. natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeweza kunipa msaada.
 
mkuu kama hujui unalofanya ni vyema ujifunze taratibu tu kuanzia kuroot, kueka custom recovery, mambo ya stock rom, aosp, official na un official rom etc ukikurupuka hivyo kuomba tu rom utakuja kubrick simu
 
nenda xda developers
 
Wakuu habari za kushinda, naomba msaada wa maelekezo niweze kupata customized Rom kwenye simu aina ya samsung 4 na Samsung Note 3.. natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeweza kunipa msaada.
Ungetaja na model za hizo simu zako ingekua rahisi
 
mkuu kama hujui unalofanya ni vyema ujifunze taratibu tu kuanzia kuroot, kueka custom recovery, mambo ya stock rom, aosp, official na un official rom etc ukikurupuka hivyo kuomba tu rom utakuja kubrick simu
Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom