Msaada wa kubadili RAM kwenye raptop.

Msaada wa kubadili RAM kwenye raptop.

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
342
Habari zenu wadau poleni na mihangaiko. Nina laptop yangu ya Dell core 2,ram 2gb, hdd 320 iko slow sana na bado sijaiwekea vitu vingi space ambayo Tyr nimetumia mpka Sasa hivi haijafika gb50.nimeshauriwa na wataalamu inchangé ram niweke at least four gb vp ndugu itaweza kunisaidia kweli au kuna njia nyingine naweza tumia badala ya hiyo ?

Nakaribisha maoni yenu wadau niweze kutatua tatzo langue.
 
Elimu yetu inaelekea shimoni.
 
raptop me siiijui labda version mpya ya simu
 
Unajua nini au umeelewa nn kwa nilichoandika apo juu na spécification zake then jipime ulichojibu kinaendana na ww maana hili jukwaa sio la kuchangia hovyo
 
Kama una la kunishauri nishauri sio kujifanya unakosoa kumbe unaandika makosa
peleka kwa wahusika wakuu wa kazi hizo mkuu kwani ndo litakuwa suluhisho sahihi,
pia ni kweli kabisa kuwa km PC ina run slowly labda RAM ni tatizo ila siyo ku slow kwa PC tatizo ni RAM.
 
Ahsante mkuu kwa mchango wako
 
mambo kama hayo hutakiwi kufanya kwa kuguess, ingia task manager pale unapoona pc ipo slow halafu angalia cpu, ram na HDD kipi kinachosababisha iwe slow na pia uangalie kitu gani kinasababisha hivyo.

kuingia task manager bonyeza kwa pamoja ctrl+alt+delete, ni vyema zaidi ukaingia resource monitor kabisa kujua kwa undani zaidi.
 
Back
Top Bottom