NawasubiriHaha. Ngoja waje
Yeah iyo App ipo mkuu ila sio yakutoa ivi ivi maana kufanya ivo ni kosaWana bodi nimepata kulisikia hili jambo. Kama kuna anayejua hizi apps kwenye smart phones anieleze. Apps zinazoweza kudetect uwepo wa torch za spidi barabarani na umbali wake.
Nawasilisha.
Funguka zaidi, lengo ni kuelimishana na kujuzana!Nenda play store,ziko mob
Nakuja PM mkuu!Yeah iyo App ipo mkuu ila sio yakutoa ivi ivi maana kufanya ivo ni kosa
Hii ikoje?kuna njia ya kuning'iniza cd kwa windscreen ya gari...
inaleta mwangwi katika tochi...kama blurred effect ivi..Hii ikoje?
Inafanyaje kaz?
Hii ya zamani sana mkuu na kuning'ing'iniza cheni iburuze chinikuna njia ya kuning'iniza cd kwa windscreen ya gari...
SPEED CAMERAS & TRAFFIC SYGIC
~Inafanya kazi 100%(From my own experience)
~Hata traffic ajifiche ndani ya gari ina-detect
~Inakupa warning kwa kupiga alarm
~Inakuonyesha tochi zote zilizopo katika route yako hata kabla hujaondoka.
N:B Inahitaji uwe na un-interrupted internet connection ili uweze kupata real time speed cameras updates.
Jaribu kuitumia, usisahau kuleta feedback.
Mimi.. ninashukuru
BRAVO!SPEED CAMERAS & TRAFFIC SYGIC