wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,965
- 27,203
Huwa nasikia kwenye makampuni ya simu kuwa baada ya muda fulani watabadilisha network ya 2g au 3g na juzi hapa nimeona matangazo kwenye mtandao wa kampuni ya Tigo kuwa wamezindua network ya 4G!
Hivi hii network huwa ni aina gani ya kifaa au ni huduma gani!?
Hivi hii network huwa ni aina gani ya kifaa au ni huduma gani!?