Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Ndugu zangu cjui ni ushamba wangu, maana nimevumilia nimeshindwa.. some time kuna social network nimeingia nimekuta picha au video nimeipenda nikiicopy au kusave inaniambia. Video hiyo nimeicopy kwenye clip board nikijaribu kuangalia kwenye galley haipo, kwenye wallpaper haipo. Sasa ndugu zangu hii clip board ni nn, au kwenye cm za android inapatikana wapi??
Msinicheke wala kunitolea lugha chafu, kuuliza c ujinga.
msaada wakuu
Msinicheke wala kunitolea lugha chafu, kuuliza c ujinga.
msaada wakuu