Msaada ku upgrade Samsung note 2 kutoka version 4.1.2 kwenda 4.2

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
494
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza kwa yeyeto mwenye utaalamu huo naomba anielekez nahitaji ku upgrade simu aina hiyo
Upadates
Ni kutoka 4.1.2 kwenda 4.4.2
 
Usije Ukatobolewa Pesa Yako Nyingi na wadau Humu ..
Fuata Hii link Jiunge na Hili Group la Whatssapp ..Linaitwa Adroid Experence. Ukifika Kumbusha Swali lako na Utasaidiwa Effectively.
 
attach link please
 
2363ca815132b7d1cec5f69acf8c3672.jpg
 
Usije Ukatobolewa Pesa Yako Nyingi na wadau Humu ..
Fuata Hii link Jiunge na Hili Group la Whatssapp ..Linaitwa Adroid Experence. Ukifika Kumbusha Swali lako na Utasaidiwa Effectively.
Hiyo link iko wap mkuu!!!
 
Mkuu kwnye kudownload nik click inaanza kudownload but inabakia kuwa salimia sifur haiongezeki kuonyesha inendelea kudownload
 
Back
Top Bottom