JINSI YA KUONDOA ADS KWENYE SIMU

mawenge

JF-Expert Member
Nov 26, 2012
286
71
Wadau simu yangu inanisumbua, inaleta matangazo mengi mpaka inanifanya niichukie simu.
Nimejaribu vitu kadhaa nimeshindwa kuyaondoa.
Naombeni msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom