mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
unamaana hii ni mmodernized overhead projectorHiyo inaitwa overhead projector (OTP)ambayo ime be modernized, inaweza kuview picha inayowekwa kwenye glass plate(Karatasi ilipowekwa) , ama inaeza kuwa transparency na ikadisplay vizuri kwenye monitor kwa different size, inaeza tumia overlay(more than one material ) to display in a monitor, pia inaeza tumia direct (one material contains many features) and relying (one by one material inserted) to appear on a monitor (screen)
Ndio mkuu za zamani hazikuwa hivo Kwan hiyo inaeza operate sehemu yoyoye bila kujal dark roomunamaana hii ni mmodernized overhead projector
Upele umepata mkunaji?Hiyo inaitwa overhead projector (OTP)ambayo ime be modernized, inaweza kuview picha inayowekwa kwenye glass plate(Karatasi ilipowekwa) , ama inaeza kuwa transparency na ikadisplay vizuri kwenye monitor kwa different size, inaeza tumia overlay(more than one material ) to display in a monitor, pia inaeza tumia direct (one material contains many features) and relying (one by one material inserted) to appear on a monitor (screen)
View attachment 450153 View attachment 450154 View attachment 450155 View attachment 450153 View attachment 450154 View attachment 450155
picha ya juu ni sehemu anayowekea karatasi na kui view kwenye monitor
Picha ya kati anaweka akaratasi ama kitu anataka akisome
Tatu anaonekana akisoma
wajuzi hii kitu ilikuwepo miaka gani, naomba nisome link mwnye nayo
Hiyo ni microfiche microfilm reader.Hiyo model hapo kwenye hiyo movie ni bell-howel 925.Zipo kampuni nyingi tu ambazu zinatengeneza hizo bidhaa kama Canon,Visidyne etc etc. Matumizi yake sana sana huwa ni library. Nafikiri nimesaidia.View attachment 450153 View attachment 450154 View attachment 450155 View attachment 450153 View attachment 450154 View attachment 450155
picha ya juu ni sehemu anayowekea karatasi na kui view kwenye monitor
Picha ya kati anaweka akaratasi ama kitu anataka akisome
Tatu anaonekana akisoma
wajuzi hii kitu ilikuwepo miaka gani, naomba nisome link mwnye nayo