Thanks mkuu nitajaribu.Hebu jaribu hii kwa tigo
*148*05# Mm huwa wananipa 10Gb kwa Tsh.2000 /mwezi mzima Huu ni mwez wa pil sasa na enjoy...
Walinitumia Msg sikuchelewa kujiunga.
Chief app ipi kwenye windows phone ambayo iko relatively safe tunaweza kuitumia kudownload movie?-airtel usiku kuanzia saa 5 au 6 shilingi 600 unapata gb 10 unadownload movie kama 15 hivi za hd na kama movie 10 za full HD.
-kama upo nje ya dar smart 20,000 kwa mwezi unlimited 3g. kwa dar smart 70,000 kwa mwezi unlimited 4g.
-vifurushi vya chuo vya siku au wiki karibia mitandao yote, airtel 1000 unapata gb 2, halotel 1000 unapata 1.2gb, tigo 1000 unapata 1gb,
-voda kifurushi maalumu *149*03# utapata 1gb kwa 1000
-tigo baadhi ya namba 10gb kwa shilingi 500 wengine kwa 2000 bonyeza *148*05#
-sajili line mpya tigo 4g upate gb 10, na voda 4g upate gb 4
average movie ni mb700Chief app ipi kwenye windows phone ambayo iko relatively safe tunaweza kuitumia kudownload movie?
mkuu tumia tu site za direct links na browser kama ucweb utadownload site zoteChief app ipi kwenye windows phone ambayo iko relatively safe tunaweza kuitumia kudownload movie?
kuna voda uni? ni vocha au?Voda uni mkuu....2000 2gb mchana 2gb usiku...siku7