Je, TECNO WE Lite ina uwezo wa 4G?

Je, TECNO WE Lite ina uwezo wa 4G?

earl

Senior Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
142
Reaction score
192
Habari za mchana,

Poleni na majukumu. Nataka nisikie kutoka wa mtumiaji wa TECNO W5 Lite kama ina uwezo wa 4G. Ninatumia Vodacom na mkoa niliopo bado Vodacom 4G haijafika.

Asante.
 
Jamani hiv vitu vingine

Umeshaandikiwa lte halaf unauliza kama ina 4g kweli jamani
 
Jamani hiv vitu vingine

Umeshaandikiwa lte halaf unauliza kama ina 4g kweli jamani
Soma vizuri. Simu inaitwa TECNO W5 Lite, 4G ni "Long Term Evelution" - LTE.
 
Back
Top Bottom