Matokeo ya form four yashatoka, natumia operaMini yanakataa kufunguka

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Habari Wana-JF wenzangu.
Kila nikijaribu kufungua link ya matokeo ya form four yanakataa na hapa natumia opera mini kuufungua matokeo!!
msaada!;;
 
ef8f4f686f27c4cfc1f9813fb359a3ea.jpg

Hata hamu sina
 
Back
Top Bottom