Msaada
Wanajamvi naombeni msaada, nimesahau password ya laptop yangu ya dell ina windows 8.0.
naombeni kupata msaada wa kuifungua, sina account ya microsoft.
Thank you in advance!!
Nimedownload nyimbo ninazozipenda kutoka youtube zingine zikiwa kwenye format ya MP4 na nyingine zikiwa kwenye format ya MKV.Nimeziweka kwenye flash na zinaplay vizuri kwenye laptop yangu.Tatizo...
habarin wakuu kama ilivo ada watu wa hili jukwaa LA sayansi huwa tunatoa facts na possibilities katika mambo ya sayansi... sasaa kutokana na hiyo heading napenda kujua ni kwa namna gani google...
Wenye link ya hio software ya adobe premiere pro ambayo hiko cracked anisaidie,
Mambo ayaendi, maji yamenifika .....
Msaada tafadhari nahitaji kuipakua
Habari wakuu, nimeamua kujifunza umeme kidogo kuongeza ujuzi katika tasnia yetu ya teknolojia. Ningependa kujua kwa wazoefu vifaa hivi vya Circuit ndogondogo za kujifunzia naweza kuvipata wapi...
Unakumbuka lile sakata la mmoja wa wagombea kiti cha Urais nchini Marekani kukumbwa na kashfa ya kutumia anwani ya barua pepe binafsi kufanya shughuli za Serikali? Au umeshawahi kuona barua pepe...
Habari za leo wanaJF..?
Naomba msaada wa kitaalamu juu ya simu tajwa hapo juu..
Hii simu nimeitumia tangu 2014 May lakini siku chache zilizopita ilianza kuleta maandishi juu ya kioo ambayo...
Habari wakuu, heri ya mwaka mpya.
Nmelog in google drive kwene different devices, na nikifanya any changes i.e deletion, ku move, ku edit notification inakuja kwenye kila device kuwa "You done...
Salaam wandugu, Nilikuwa nina type text, ghafla ika display blue screen kwenye kioo na kuzima. nikajaribu kuwasha inawaka kwenye ile logo ya lg then blue screen inatokea na kujizima. nikatoa betri...
Samahan wana jf ni coz gan ni nzuri ya computer unayoweza kukupa kazi au kukusaidia kwa maisha ya sasa wakati nasubili matokeo ya form four ya kwenda advance na inaweza chukua mda gan
Natanguliza...
Kwa wale wataalam wa kutafuta TORRENTS plz naomba mnisaidie niweze kupata Movies za SIDNEY SHELDON maana nyingi nazopata kwa sasa zina seed zero. so hazi download. ikiwa kuna sehemu ntazipata...
Nahitaji kutengeneza business card zilizodizainiwa kwa kiwango.
Kama unaamini wewe umebobea kwenye kazi hii naomba shusha sample yako hapa na quotation zako ili nikupe kandarasi.
Nb: kwa wale...
Msaada kwa mtu anaeweza ku_unlock IMEI za simu ili iweze kusoma line zote, line #1 inasoma tigo tuu nkiweka chip nyingne inadai password, ni huawei.
Msaada pliz kwa yeyote awezae
Habari wana-Jf? naomba msaada wa kufahamishwa juu ya picha hii kuwa ime_dizainiwa kwa tool Ipi (kama inaweza kuwa katika PC)? au application Ipi (katika smartphone)?
Wakuu tatizo ni nini, kila nikituma ujumbe wa kawaida kwa njia ya simu , meseji haziwafikii kwa wakati, vivyohivyo nao wakinitumia zinachelewa kunifikia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.