3d video magnifier

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
96
naomba kuuliza kifaa hiki kiitwacho 3d video magnifier je ninaweza kuchomeka simu kwenye hiki kifaa na nikafungua documents mfano za pdf na zikaonekana kwenye hichi kidude. au kinafanya kazi kwenye videos tu? Asanteni
 
Back
Top Bottom