Device Yangu Inatatizo hili, Msaada

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Wakuu natumia device ya Lenovo na IWAPO TUU nikitumia SIM CARD ya AIRTEL na nikifungua Data, my device automatically GPS inajiswitch on!! Hata kama nikiswitch off!! After 40 or 30 second inajiswitch On Automatically!! Naombeni msaada kwasabab hii ni kero sasa, istoshe ukaaji wa chaji unakuwa mdogo (battery 2000mAh)
Na nikitumia line za mitandao mingine tatizo haliji!!
Msaada Plz

~Cmb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom