xeon nyingi hazina single thread perfomance ya kutosha, huwezi kugame nazo na workstation zina quadro gpu ambazo sio nzuri kwenye games
wengi tunatafuta pc kwa jina bila kuchunguza hardware. mfano mtu atasema workstation au processosr fulani ni best like core i7.
zipo core i7 zenye single thread kubwa baadhi tu,hizo hatuezi kupata katika computer asilimia 99 zilizopo bongo.
model zenyewe ni
PRocessor name Single thread price
intel core i7-7700k @4.20GHz 2.595 349.99$
intel core i7-4790k @4.00Ghz 2.527 339.99$
intel core i5-7600k @ 3.80Ghz 2.410 245.92$
itel core i3-7350 @ 4.20Ghz 2.359 189.99$
itel xeon E3-1285 v3 @ 3.60Ghz 2.340 730.93$
itel xeon E3-1281 v3 @ 3.70Ghz 2.338 677.50$
hizo ndio intel zenye single thread ndogo.
tukija kwenye xeon CPU hapa tunapata core 18 single thread ni 36 zipo zenye sigle thread mpaka 100......
processor hizi ni high end madeveloper wa game hawatengez games pointed to xeon processor kwani huwezi zipata kwa wacheza game. zaidi ya Taasisi za kichunguzi,mawasiliano,hackers,software engner,
napia bei zake cpu tu ni mkasi.
mfano mimi nilishakua na laptop hii Titanus X95MW - Intel Xeon E5 V2 Series wakati naipata as used kwa mzungu alipatia baada ya kusolve tatizo lake na kumpa maelekezo. nikamwacha baada ya wiki mbili nikakutana nae tena na akaamua kunipa bure. nilitafuta thamani yake ni dolla 3000.... niliamua kuiuza ebay kwa dolla 2450