Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 482
- 489
Habari zenu wakuu! Natarajia kununua laptop yenye specifications hizi; RAM 2GB, processor intel celeron N3050, 32GB SSD. Brand nayotaka kununua ni dell inspiron 11.6". Ningeomba mtu mwenye experience na hizi device anielekeze kama kuna usumbufu wowote au shida kwenye matumizi. Matumizi yangu ni office, movies(downloading and streaming) na kuwach movies na nyimbo. Bei ya hiyo PC ni 400,000 kwenye duka la sound and vision Arusha. kama kuna mwenye experience ya mahali napoweza pata mashine ya type hiyo kwa Moshi na Arusha please nielekeze. napendelea potable kama hiyo niliyoweka hapo juu. Asanteni