Wakenya waja na Taifa A3 Laptop

icoderz

Senior Member
Mar 9, 2014
135
78
TAIFA A3 LAPTOP

SPo32SCOFACDX1TNMwTkErSa8kQUxmFZszBI.JPG
The TAIFA Brand Laptop is a product of the Nairobi Industrial and Technological Park (NITP). NITP is a kenyan vision 2030 flagship project between Jomo Kenyatta University of Agriculture and Tecnology (JKUAT) and the Ministry of Industrialization and Enterprise Development (MOIED). The project advances the triple heritage of providing worldclass solutions, creating jobs and wealth and creating the pride of our Nation in the spirit of "Buy Kenya, Build Kenya"

Key Features
Display

 • 14.0” WXGA HD (1366x768)
Processor Options

 • Intel® CoreTM i3 - 400M, Intel® Processors 2.4Ghz
Operating System Options

 • Genuine Windows® 8.1
 • Genuine Microsoft Office® 2013

IMG_0770.JPG

Memory

 • DDR3 SDRAM 4GB RAM
Storage

 • 500GB 7200 rpm SATA Hard Drive
Optical Drive

 • 8X DVD+/-RW
IMG_0724.JPG

Multimedia

 • High quality speakers, Stereo headphone & Microphone jack
 • HDMI Port
 • HD video webcam
IMG_0728.JPG

Connectivity

 • 10/100/1000 Gigabit Ethernet
Wireless LAN

 • IEEE 802.11 b/g/n
Bluetooth

 • Wireless Bluetooth® 4.0
Ports, Slots & Chassis

 • Network connector (RJ-45), USB 2.0 (1), USB3.0 (2)
 • Stereo headphone & Microphone jacks, Memory card reader slot
IMG_0721.JPG

Input Device

 • Single pointing keyboard
 • Smooth Touchpad
IMG_0716.JPG

Battery

 • 6-cell (60Whr) Lithium Ion battery - 4200mAh
Package Contents

 1. Taifa A3 Laptop
 2. Laptop Battery
 3. Laptop Charger
IMG_0738.JPG
IMG_0743.JPG
IMG_0746.JPG
IMG_0828.JPG

How to pay for the TAIFA A3 Laptop

 1. KCB Bank, JKUAT Production Account, Account No 1107589045
 2. Safaricom PayBill No. 951200 Acct no. NATIONAL ID NUMBER
Source: Taifa A3 Laptop
 
Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
851
380
Nice step ahead, sio Tz, hakuna research and development funds, innovation and scientific projects. Kila kitu from China and Dubai or India. Hata products za Keko furniture zinaozea pale for just 10%.Poor Tanzania!
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,130
1,514
Wametengeneza housing tu or what huh !
b.t.w good job japokuwa muonekano wake unafanana na ule wa PC za below 2007 haunipi picha ya miaka hii ya 2015 kabisa.

brand name is what pissed me off.
 
icoderz

Senior Member
Mar 9, 2014
135
78
Nice step ahead, sio Tz, hakuna research and development funds, innovation and scientific projects. Kila kitu from China and Dubai or India. Hata products za Keko furniture zinaozea pale for just 10%.Poor Tanzania!

Aisee ni hatari sana, hivi kwanini iko hivi ni kwamba hakuna visions, umaskini au ni nini?
 
bado nipo

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
303
44
pc assembly tu iyo ata sisi tunaweza maana wamechukua tu motherboard,hdd na other component s ila waho wametengeneza housing tu
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,281
5,186
pc assembly tu iyo ata sisi tunaweza maana wamechukua tu motherboard,hdd na other component s ila waho wametengeneza housing tu

Si mfanye yenu????????
Tanzania maneno mengi sana vitendo hakunaaaaa
Magufuli ameharibu daslam ameweka vichochoro kama ile morogoro road ndo nini sasa hivyooo
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,097
2,226
hapo wame assemble tu . LOGO ni kama SONY VAIO adaptor ni kama TOSHIBA. ni hatua nzuri lakini hawapaswi kujivunia kutengeneza laptop . hizo zinawezekana hata kwa mtu binafsi kutoa Order nabkutengenezewa kitu kama hicho kutokea china
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
8,887
9,363
Si mfanye yenu????????
Tanzania maneno mengi sana vitendo hakunaaaaa
Magufuli ameharibu daslam ameweka vichochoro kama ile morogoro road ndo nini sasa hivyooo
Nyie akili zenu zina shida sana,kila jambo jema mkifanya mnajilinganisha na Tanzania.Lini mtapevuka kifikra?Alshabaab wakikiona hicho kiwanda chenu cha plastiki msije kulia!Imported technology inawafanya mabega juu!wakati laptop zipo madukani siku nyingi.
Japo mnastahili pongezi,oneni mbali zaidi ya kujilinganisha na Tanzania.Kuna nchi zaidi ya mia mbili Duniani
 
dmlabwa

Member
Dec 28, 2013
62
17
WaTz mbona tupo critical sana? Hata brands kubwa kama Samsung, Toshiba, HP wanatumia the same components eg, intel processors ila mbona hatusemi? They have just taken a step ahead, so instead of pulling them down, I think positive criticism is a better way to speak about what they have done
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,638
6,989
Wametengeneza housing tu or what huh !
b.t.w good job japokuwa muonekano wake unafanana na ule wa PC za below 2007 haunipi picha ya miaka hii ya 2015 kabisa.

brand name is what pissed me off.

Acha husda!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
141
wewe tu ndio umepata mshangao mwenzio ninayangu nimeshapewa na mtia nia wetu kazi kwako unaeshangaa za taifa
LOWASA LAPTOP MOD.jpg LOWASA LAPTOP MOD.jpg
 
utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
963
705
Lakini wakuu kwani ma kampuni mengine yana fanyaje si hivi hivi tu wana assemble maana gpu zinatoka Intel, nvidia ama Amd, processor pia Intel au Amd.. HDD/SSD Zinaweza toka Toshiba, Samsung au Kingston. Motherboard pia wao wanatengeneza body ya nje then wanassemble different parts from different manufacturers . Ni kampuni chache zinazotengeneza kila internal
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
28,736
33,877

kwa pro ndio hakuna kitu wanachofanya makampuni makubwa na yeye akashindwa interms ya kutengeneza pc, ila kwa mtu wa kawaida cooling ya laptop, motherboard zake, vitu kama gpu ni almost imposible kufanya. na ukiangalia kwa makini hawa watengeneza laptop kila mmoja anakuwa na biashara yake kubwa then laptop zinakuwa kama show off tu ya vitu vyake ili wengine waweze kumnunuza.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
28,736
33,877
Si mfanye yenu????????
Tanzania maneno mengi sana vitendo hakunaaaaa
Magufuli ameharibu daslam ameweka vichochoro kama ile morogoro road ndo nini sasa hivyooo

kama mwezi tu uliopita nimemtengenezea mtu computer, si kitu cha ajabu kaka na watu wanatengeneza sana tu. tena siku hizi kwa laptop wamezidi kufanya mambo rahisi kuna barebone zimetengenezwa kila kitu unachomeka tu cpu, ram na hdd.

313qDucD3nL._SX355_.jpg

hii ni barebone imetengenezwa na msi kwa ajili ya gamers, inaingia processor yoyote ya haswell mobile, unaweza ipeleka kampuni yoyote ya laser printing ukaeka logo yako wala mtu asijue imetengenezwa na nani
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom