TECNO PHANTOM Z MINI

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,525
3,842
Habari wanajamvi

Nahitaji msaada,simu yangu inazima hovyo hovyo,tena nikiwasha internet ndo balaa, mwenye utaalam namna ya kuifanya irudi ktk hali yake nisaidie tafadhali.

Shukrani.
 
Reset....
kuna app inayo-match katika simu aina ingine labla samsung umeinstall katika simu yako...
•TECNO IS THE BEST.
 
Habari wanajamvi

Nahitaji msaada,simu yangu inazima hovyo hovyo,tena nikiwasha internet ndo balaa, mwenye utaalam namna ya kuifanya irudi ktk hali yake nisaidie tafadhali.

Shukrani.
mkuu hiyo simu mbona kama toleo la mda kidogo, tupa nunua phantom 6
 
Habari wanajamvi

Nahitaji msaada,simu yangu inazima hovyo hovyo,tena nikiwasha internet ndo balaa, mwenye utaalam namna ya kuifanya irudi ktk hali yake nisaidie tafadhali.

Shukrani.
Ina wezekana simu yako umeijaza apps nyingi Kuhuzidi uwezo wa simu kuhimili, cha kufanya futa/punguza apps ambazo hauzitumii Mara kwa Mara na hakisha hakuna apps zinazo run background.Au unawexa kudownload AVG CLEANER for android ( IPO play store) ukaangalia app zinazo run background na Kuzi stop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom